Habari RFI-Ki

Uganda na harakati za kumsaka Joseph Kony

Sauti 09:58
Kiongozi wa kundi la waasi wa LRA nchini Uganda, Joseph Kony
Kiongozi wa kundi la waasi wa LRA nchini Uganda, Joseph Kony RFI

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia changamoto ambazo zinaikabili nchi ya Uganda katika harakati zake za kumsaka kiongozi wa waasi wa Uganda LRA, Joseph Kony ambaye nchi hiyo inadai kuwa amejificha nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na kwamba waas wa Seleka huenda wakawa wanampa hifadhi.