Habari RFI-Ki

Usafiri wa Treni kusimama jijini Dar es Salaam

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia athari ambazo wanazipata wananchi wa Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, baada ya huduma ya usafiri wa treni kusimama kwa karibu juma moja kutokana na kuharibika kwa barabara yake kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.

Wananchi wa Dar es Salaam nchini Tanzania wakijiandaa kupanda kwenye treni ambayo ilisimamisha safari zake kutokana na reli kuharibika kutokana na mvua
Wananchi wa Dar es Salaam nchini Tanzania wakijiandaa kupanda kwenye treni ambayo ilisimamisha safari zake kutokana na reli kuharibika kutokana na mvua RFI
Vipindi vingine