Muziki Ijumaa

Mfahamu mwanamuziki Zahara toka nchini Afrika Kusini

Sauti 10:01
Mwanamuziki wa Afropop Zahara raia wa Afrika Kusini
Mwanamuziki wa Afropop Zahara raia wa Afrika Kusini Zonke

Mtangazaji wa makala haya hii leo kwenye Muziki Ijumaa amemzungumzia mwanamuziki Zahara anayeimba aina ya muziki wa Afropop ambao unapata umaarufu sana barani Africa.