Afrika mashariki

Changamoto za kiuchumi kwenye bandari ndogo ya Banda Kusini mwa Burundi

Makala ya Afrika Mashariki leo tunazungmza na wafanyabiashara wanaotumia bandari ya Banda tarafani Rumonge katika Mkoa wa Bururi Kusini mwa Burundi.