Habari RFI-Ki

Muswada wa mavazi nchini Uganda

Sauti 10:03
Nguo fupi kwa wanawake
Nguo fupi kwa wanawake

Bunge la nchini Uganda linajadili muswada wa sheria uhusuo mavazi ya nguo fupi kwa wanawake, katika makala ahaya utapata kujuwa maoni ya wananchi kutoka katika mataifa ya afrika mashariki na kati kuhusu muswada huo.