Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Miundo mbinu hafifu na athari zake katika utunzaji wa mazingira

Sauti 09:12

Suala la miundombinu hafifu kwa kiasi kikubwa linaathiri utunzaji wa mazingira katika maeneo mbalimbali na hatimaye kusababisha maogonjwa mbalimbali ambayo yanatokana na uchafu kutokana na watu kukosa uhifadhi mzuri taka. Makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho itaangazia kwa kina suala hilo.