Habari RFI-Ki

Mpango wa nchi EAC kuwa na sarafu moja waiva

Sauti 09:47
RFI

Hivi karibuni viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki walikutana mjini Arusha nchini Tanzania ambapo pamoja na mambo mengine waliazimia kuanzishwa kwa sarafu ya pamoja kabla ya kumalizika kwa mwaka huu. Ungana na Edmond Lwangi katika Makala ya Habari Rafiki inayoangazia hatua hiyo ya viongozi wa EAC.......