Jua Haki Zako

Muswada mpya wa sheria ya vyombo vya habari nchini Burundi watikiswa

Sauti 07:54

Bunge la Burundi hivi karibuni lilipitisha muswada wa sheria ya vyombo vya habari nchini humo ingawaje wapo wadau wengi ambao wao wanaona muswada huo unakandamiza vyombo vya habari. Je nini kilichomo ndani ya muswada huo mpaka ifikie hatua ya kuwepo kwa wasiwasi huo? Makala ya Jua Haki Yako hii leo ina kwa kina undani wa sakata hilo.