Afrika Ya Mashariki

Mila na desturi za watu Uganda na msisimko wake

Sauti 09:16

Mila na desturi kwa nchi za Afrika ni muhimu kwa sababu hutoa taswira halisi ya maisha wa Waafrika ingawaje pia zipo ambazo hupitwa na wakati na hata jamii kuziweka kando. Makala ya Afrika Mashariki leo inaangazia mila na desturi za jamii nchini Uganda na utakua naye Julian Rubavu.