Habari RFI-Ki

Wanafunzi wako katika hatari ya kuambukizwa VVU

Sauti 09:39
RFI

Jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanyika kukabiliana na maambukizi ya VVU na hatimaye ugonjwa wa Ukimwi huku makundi mbalimbali yakiathirika zaidi wakiwemo wanafunzi katika nchi za Afrika Mashariki. Makala ya Habari Rafiki leo hii inaangazia suala la wanafunzi kuwa katika hatari ya kuambukizwa VVU.