Habari RFI-Ki

Dunia yaadhimisha siku ya Wafanyakazi huku wafanyakazi wakikabiliwa na changamoto

Imechapishwa:

Kila mwaka siku ya Mei Mosi wafanyakazi huadhimisha siku yao duniani na mwaka huu wafanyakazi kutoka Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki walijumuika na wenzao duniani kuadhimisha siku hiyo. Wafanyakazi hao wameadhimisha siku hiyo huku wakikabiliwa na changamoto mbalimbali, je ni changamoto zipi hizo? Makala ya Habari Rafiki iliyoandaliwa na Edmond Lwangi ina mengi zaidi..............

RFI
Vipindi vingine