Gurudumu la Uchumi

Viongozi Afrika Mashariki wajipanga kuanza kwa sarafu ya pamoja

Sauti 09:43

Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki walikutana hivi karibuni mjini Arusha nchini Tanzania  ambapo pamoja na mambo mengine waliamua kufanya utekelezaji wa azimio la kuwa na sarafu moja kabla ya mwisho wa mwaka. Makala ya Gurudumu la Uchumi kwa kina inamulika mkutano huo wa marais wa EAC. Ungana na Emmanuel Makundi kwa udani zaidi.......................