Mjadala wa Wiki

Wafanyakazi waadhimisha siku ya duniani

Sauti 12:23

Wafanyakazi kote duniani huadhimisha siku yao kila ifikapo Mei Mosi kila mwaka. Mwaka huu wafanyakazi  wameadhimisha siku hiyo huku wakikabiliwa na changamoto mbalimbali. Makala ya Mjadala wa Wiki juma hili inaangazia maadhimisho ya Mei Mosi.