Habari RFI-Ki

Viongozi wa Afrika wataka kesi zao zilizoko kwenye mahakama ya ICC kurejeshwa barani humu

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya hii leo anaangazia mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika unaofanyika mjini Addis Ababa Ethiopia, mkutano unaotamatishwa hii leo, ambapo wanajadili kuhusu nchi hizo kujiondoa kwenye mahakama ya ICC.

Hailemariam Desalegn, waziri mkuu wa Ethiopia
Hailemariam Desalegn, waziri mkuu wa Ethiopia REUTERS/Tiksa Negeri