Habari RFI-Ki

Kumalizika kwa mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika AU

Sauti 09:57
Nkosazana Dlamini-Zuma mkuu wa Umoja wa Afrika AU
Nkosazana Dlamini-Zuma mkuu wa Umoja wa Afrika AU Reuters/路透社

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia yale yaliyoazimiwa na viongozi wa Umoja wa Afrika AU wakati wakihitimisha mkutano wao mjini addis Ababa, Ethiopia siku ya Jumatatu.