Mjadala wa Wiki

Kwanini sasa viongozi wa AU wanakosoa mahakama ya ICC?

Imechapishwa:

Wiki hii kwenye mjadala wa wiki, tumeangazia hatua ya viongozi wa Umoja wa Afrika AU kuunga mkono harakati za Kenya kutaka kujiondoa kwenye mahakama ya ICC, tunajiuliza ni kwanini sasa? athari gani bara la Afrika itakumbana nazo iwapo kesi za ICC zitarejeshwa kwenye nchi zao? Je ni juhudi za kuendelea kuwalinda wahalifu wa kivita? Ungana nasi kwenye mjadala huu.Kwenye mjadala huu ungana na wachambuzi wa masuala ya siasa na sheria za kimataifa, Brayan Wanyama toka chuo kikuu cha masinde Muliro kuel kakamega nchini Kenya, na Ojwan'g Agina mchambuzi wa siasa akiwa Nairobi nchini Kenya.

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta REUTERS/Marko Djurica
Vipindi vingine