Muziki Ijumaa

Mfahamu msanii Yoya kutoka nchini Burundi

Sauti 09:59
Msanii kutoka nchini Burundi, Yoya Jamal
Msanii kutoka nchini Burundi, Yoya Jamal Yoyafacebook page

Makala ya Muziki Ijumaa juma hili tunamzungumzia msanii kutoka nchini Burundi, Yoya Jamal ambae amekuwa akikonga nyoyo za mashabiki wa Muziki nchini humo, fahamu alikotoka na aina ya Muziki ambayo anaifanya.