Habari RFI-Ki

Obama amaliza ziara yake nchini Tanzania

Sauti 10:00
RFI

Rais wa Marekani Barck Obama amehitimisha ziara ya siku mbili nchini Tanzania siku ya Jumanne, Julai 2, kama sehemu ya ziara yake ya juma zima Barani Afrika iliyoanzia nchini Senegal, Afrika Kusini na hatimaye Tanzania. Makala ya Habari Rafiki inaangazia ziara hiyo na athari zake.