Habari RFI-Ki

Obama azitaka nchi za Maziwa Makuu kusaidia amani DRC

Sauti 09:54
RFI

Rais wa Marekani Barack Obama hivi karibuni alifanya ziara Barani Afrika na akiwa Tanzania alitoa wito kwa nchi za Maziwa Makuu kusaidia upatikanaji wa amani mashariki mwa DRC ikiwa ni pamoja na kuacha kuwasaidia waasi. Makala ya Habari Rafiki hii leo inaangazia suala hilo kwa kina.