Ziara ya Rais wa Marekani Barack Obama nchini Tanzania na athari zake katika uchumi
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 16:50
Rais wa Marekani Barck Obama amehitimisha ziara ya siku mbili nchini Tanzania, kama sehemu ya ziara yake ya siku saba Barani Afrika iliyoanzia nchini Senegal, Afrika Kusini na hatimaye Tanzania. Mjadala wa Wiki unangazia ziara hiyo na athari zake katika uchumi.