Muziki Ijumaa

Wasikiliza wa RFI kiswahili wajivinjari na Muziki Ijumaa

Sauti 09:29

Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International imetimiza miaka mitatu tangu ianze kurusha matangazo yake kutoka Dar Es Salaam, Tanzania. Katika kuadhimisha siku hiyo, Makala ya Muziki Ijumaa juma hili inatoa nafasi kwa wasikilizaji kuzungumzia miaka mitatu ya RFI Kiswahili na kuchagua Burudani ya muziki.