Habari RFI-Ki

Madereva wa mabasi Buguruni, dar es salaam Tanzania wapinga kuhamishwa

Sauti 09:29
Moja ya mabasi ambayo yanafanya safari zake Buguru
Moja ya mabasi ambayo yanafanya safari zake Buguru RFI

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia tukio lililotokea jioni hii kwenye eneo la Buguruni jirani na Tazara jijini Dar es Salaam Tanzania, ambapo maofisa wa TANROAD walikuwa wakifanya operesheni ya kuyahamisha magari ya mabasi ambayo yalikuwa yakipakia abiria kwenye eneo ambalo halikuruhusiwa.