Habari RFI-Ki

Machafuko mashariki mwa DRC

Sauti 09:25
REUTERS

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia mapigano yaliyozuka tena mashariki mwa nchi ya jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo, ambapo wanajeshi wa Serikali wanakabiliana na waasi wa kundi la M23 ambao wanataka kuuchukua tena mji wa Goma.