Muswada wa sheria ya Ndoa nchini Kenya, je ukitoa ahadi ya kuoa na usipooa ushtakiwe?

Sauti 09:52
RFI

Mtangazaji wa makala haya, hii leo ameangazia muswada wa ndoa uliowasilishwa kwenye bunge la Kenya, ambapo moja ya kipengele kinasema iwapo mtu atamuahidi mwenzake kumuoa na asipotekeleza mmoja anaweza kwenda mahakamani kufungua kesi.Wananchi wa Kenya wanasemaje kuhusu sheria hii?