Habari RFI-Ki

Siku ya Mandela

Sauti 09:54
Mmoja wa watoto wa Afrika Kusini akiwa ameshika bango linalomtakia heri ya kuzaliwa mzee Mandela
Mmoja wa watoto wa Afrika Kusini akiwa ameshika bango linalomtakia heri ya kuzaliwa mzee Mandela REUTERS/Mike Hutchings

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia siku ya Mandela ambayo dunia inaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwasisi huyu wa kupinga ubaguzi wa rangi na rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela