Mahusiano baina ya maendeleo ya kiuchumi na ongezeko la maambukizi ya virus vya ukimwi (Sehemu ya nne)

Hii ni sehemu ya nne na ya mwisho ya makala kuhusu mahusiano baina ya maendeleo ya kiuchumi na ongezeko la maambukizi ya virus vya ukimwi vijijini Tanzania na nchi jirani. Maafisa wa serikali wamekuwa na mtazamo tofauti na raia kwa mazingirahatarishi yanayo sababisha ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU. Takwimuzinazotolewa zina utata kwa ukosefu wa vifaa vya kupimia VVU.