Polisi bandi agundulika nchini Tanzania

Sauti 10:22
Huyu ndiye askari polisi bandia aliekamatwa nchini Tanzania
Huyu ndiye askari polisi bandia aliekamatwa nchini Tanzania

Nchini Tanzania, hivi karibuni amegundulika mtu ambaye alikuwa akijifanya kuwa polisi wa barabarani na kutoza pesa ma dereva, hali sambamba na hii inashuhudiwa pia katika maeneo ya ukanda wa Afrika Mashariki. Sabina Nabigambo anaangazi kuhusu hali ilivyo katika ukanda wa Afrika Mashariki.