Rais Kikwete amaliza muhula wake wa kuhudumu katika Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC

Sauti 09:35
Jakaya Kikwete, rais wa Tanzania
Jakaya Kikwete, rais wa Tanzania AFP PHOTO/SIMON MAINA

Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza muhula wake wa kuhudumiu kama mwenyekti wa baraza la Usalama na Amani kwenye Jumuiya ta Kicuhumi ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC. Nini Maoni yako?