Changamoto kwenye itifaki ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki

Sauti 09:30

Makala Yetu Ya Afrika Mashariki leo Tunaangazia juu ya changamoto kwenye itifaki ya jumuiya ya afrika ya mashariki kuhusu uhuru wa raia wa nchi tano za jumuiya hiyo kutembea na kuishi kwenye nchi za jumuiya hiyo. Je, sheria za nchi husika zikoje kuhusu suala zima la uhamiaji?Tafadhali sikiliza mwanzo hadi mwisho upate ukweli na uhakika.