Wanawake waombwa kuzaa watoto wengi huko Kenya

Sauti 09:33
Seneta Dan Mwanzo akiwa na Raila Odinga wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 201
Seneta Dan Mwanzo akiwa na Raila Odinga wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 201

Kiongozi mmoja nchini Kenya amewataka akina mama kuzaa watoto wengi ili siku moja wampigie kura zitazo mfikisha Ikulu. Sikiliza maoni mbalimbali kuhusu kauli hii.