Maafisa wa polisi wa kike nchini Kenya wapigwa marufuku kujipamba

Sauti 10:14

Polisi wa kike nchini Kenya, wamepigwa marufuku kijeremba, kama kuvaa bangiri, kupaka rangi za midomo kuvaa hereni na mengine, ambatana na Martha Saranga katika mahakala haya.