KENYA-UGANDA

Ripoti mpya yabaini kukithiri kwa Vitendo vya utoaji mimba nchini Kenya na Uganda.

Utoaji mimba nchini Uganda
Utoaji mimba nchini Uganda

Zaidi ya visa laki nne na elfu 60 vya utoaji mimba vyaripotiwa kila mwaka nchini Kenya, ambapo zaidi ya vifo laki moja hutokea kutokana na utoaji mimba huo. Haya ni kwa mujibu wa ripoti mpya ambayo imezinduliwa hii jana jijini Nairobi.