KENYA-MAADHIMISHO

Wakenya waadhimisha kumbukukumbu ya miaka 35 tangu kufariki kwa rais mtetezi wa uhuru wa taifa hilo

Mzee Jomo Kenyatta
Mzee Jomo Kenyatta

Wakenya hii leo wameadhimisha miaka 35 tangu kutokea kifo cha rais mwanzilishi wa taifa hilo mzee jomo Kenyatta. Kenyatta aliaga dunia tarehe 22 mwezi Agosti mwaka wa 1978. Mwanahabari wetu Paulo Silva amehudhuria hafla hiyo na hii hapa ni ripoti yake