Agizo la wahamiaji haramu kuondoka Tanzania

Sauti 09:32

Makala ya Afrika Mashariki wiki hii yanaendelea kujadili agizo la serikali ya Tanzania kuwataka wahamiaji haramu kuondoka katika jimbo la Kagera na kurudi kwao.Ungana na Julian Rubavu kwa mengi zaidi.