Ongezeko la ajali za barabarani nchini Kenya

Sauti 10:29

Ijumaa hii katika kipindi cha Habari Rafiki tunajadili ongezeko la ajali za barabarani katika mataifa ya Afrika Mashariki na Kati hasa baada ya watu 41 kuuawa katika ajali mbaya nchini Kenya siku ya Alhamisi.Ungana na Sabina Nabigambo kujadili njia za kutatua tatizo hili.