Jua Haki Zako

Ajira kwa watoto migodini tatizo linalohitaji ufumbuzi

Sauti 08:52

Ajira kwa watoto nchini Tanzania bado ni tatizo katika maeneo mablimbali na hivyo kuchangia mlwamo kwa watoto hao kutimiza ndoto zao. Leo makala ya Jua Haki zako itajikita zaidi katika ajira ya watoto katika maeneo ya migodi. Karume Asangama atakupa undani wa mada hiyo.