Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Madini ya Zebaki na athari zake kwenye mazingira na afya ya binadamu

Sauti 10:27

Madini ya Zebaki pamoja na faida zake bado yana athari nyingi iwe ni kwenye mazingira na afya ya binadamu. leo katika makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho tutaangazia kwa kina athari za madini hayo kwenye mazingira na afya ya binadamu kama ambavyo mtayarishaji na msumulizi wa makala haya Ebby Shaban Abdala atakua akikusimulia.