Siha Njema

Fahamu vidonda vya tumbo na madhara yke kiafya

Sauti 10:21

Ugonjwa wa vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa ambayo yamekuwa yakiathiri afya ya binadamu. Makala ya Siha Njema hii leo inaangazia kwa kina ugonjwa huo wa vidonda vya tumbo.