Afrika Ya Mashariki
Wahamiaji haramu bado tishio kwa nchi za Afrika Mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 09:33
Nchi za Afrika Mashariki na kati zinakabiliwa na changamoto mbalimbali lakini moja wapo ni tatizo la wahamiaji haramu. Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zinaguswa na changamoto za tatizo hilo na hata kufikia kuamua kuwarudisha makwao. Leo makala ya Frika Mashariki itaangazia changamoto za kiuchumi na kijamii za kuwepo wahamiaji haramu nchini Tanzania.