KENYA-ICC
Mahakama kutoa mwelekeo kuhusu kesi inayonuiwa kuwazuia Kenyatta na Ruto kuhudhuria ICC
Mahakama kuu jijini Nairobi inatarajiwa kutoa mwelekeo hii leo kuhusu kesi iliyowasilishwa na shirika moja lisilo la kiserikali ya kuitaka mahakama kuwazuia Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kuhudhuria kesi za uhalifu dhidi ya binadamu zinazowakabili wawili hao pamoja na mwanahabari Joshua Sang katika mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC.Mwanahabari wetu Paulo Silva ana mengi kutoka jijini Nairobi.
Imechapishwa: Imehaririwa: