Mjadala wa Wiki

Mvutano kati ya Tanzania na Rwanda wazidi kuzua mijadala

Sauti 15:46

Mvutano kati ya Tanzania na Rwanda wazidi kuzua mijadala miongoni mwa jamii za watu wa Afrika Mashariki hasa baada ya wahamiaji haramu kuamuliwa kuondoka Tanzania. Makala ya Mjadala wa Wiki leo hii inamulika mvutano uliopo ambao ulianza kuchomoza baada ya Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete kushauru Rwanda na Uganda kuzungumza na waasi wake.