Muziki Ijumaa

Suzan Owiyo mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo nchini Kenya

Sauti 09:59

Makala ya Muziki Ijumaa hii itakua ikijivinjari nchini Kenya kumzungumzia mwanamuzi Suzan Owiyo ambaye pamoja na uimbaji bado ni mtunzi mzuri kabisa wa nyimbo. Kupata undani wa mwanamuziki huyu makala haya yatakuhabarisha na kukuburudisha kwa kina.