Habari RFI-Ki

Kenya kujitoa kwenye mahakama ya ICC

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala ya habari rafiki, hii leo ameangazia hatua ya nchi ya Kenya kutaka kujitoa na pia kuanza kwa kesi inayomkabili naibi wa rais William Ruto na mwandishi wa habari mjini The Hague.

Reuters/Lex van Lieshout/Pool
Vipindi vingine