Habari RFI-Ki

Kuanza kwa mazungumzo ya Kampala

Sauti 09:59
Crispus Kiyonga mratibu wa mazungumzo ya kampala
Crispus Kiyonga mratibu wa mazungumzo ya kampala REUTERS/James Akena

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia kuanza kwa mazungumzo ya kusaka amani mashariki mwa nchi ya DRC chini ya usimamizi wa serikali ya Uganda mjini Kampala kati ya waasi wa M23 na serikali ya Kinshasa.