Afrika Ya Mashariki

Ujambazi kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki

Sauti 09:22
Reuters

Mtangazaji wa makala hii juma hili ameangazia suala la maofisa wa serikali na wajibu wa wananchi wa Jumuiya ya Afrika mashariki katika kutokomeza vitendo vya ujambazi.