Mjadala wa Wiki

Kenya kujiondoa kwenye mahakama ya ICC

Sauti 14:46
Reuters/Lex van Lieshout/Pool

Msikilizaji hii leo kwenye mjadala wa wiki tunatazama hatua ya wabunge wa Kenya kupitisha muswada wa kutaka nchi hiyo kujiondoa kwenye mkataba wa Roma wa kutaka kutoitambua mahakama ya ICC.