Wimbi la Siasa

Kuahirishwa kwa kesi ya William Ruto

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya, hii leo ameangazia hatua ya kuahirishwa kwa kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu inayomkabili naibu wa rais wa Kenya, William Ruto. Kesi hoyo itaendelea tena siku ya Jumanne.

Naibu wa rais wa Kenya, William Ruto akiwa kwenye mahakama ya ICC
Naibu wa rais wa Kenya, William Ruto akiwa kwenye mahakama ya ICC Reuters
Vipindi vingine