Habari RFI-Ki

Kupatikana kwa maji kwenye eneo la Turkana

Sauti 10:09
Wakazi wa eneo la Turkana kaskazini mwa Kenya
Wakazi wa eneo la Turkana kaskazini mwa Kenya Reuters/Kabir Dhanji

Mtangazaji wa makala haya, hii leo ameangazia utafiti uliofanywa nchini Kenya kaskazini mwa nchi hiyo na kugundua uwezekano mkubwa wa upatikanaji maji kwa wakazi wa eneo hilo.