Mazungumzo ya amani ya amani kati ya Kampala katiya M23 na serikali ya DRCongo

Sauti 09:53
Viongozi wa kundi la M23 mjini Bunagana mashariki mwa DRCongo Septemba 8, 2013.
Viongozi wa kundi la M23 mjini Bunagana mashariki mwa DRCongo Septemba 8, 2013. REUTERS/Kenny Katombe

Mazungumzo kati ya serikali ya DRCongo na waasi wa kundi la M23 jijini Kampala nchini Uganda kutafuta suluhu ya machafuko ya mashariki mwa DRCongo.