Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

TANZANIA

Sauti 09:42
Na: RFI

Mabadiliko chanya yanayofanywa na redio za jamii ni moja kati ya changa moto kwa maendeleo ya wanawake na wasichana ambao wamekua wakitengwa katika jamii barani Afrika. Katika makala haya ya “ Jua Haki Zako” tunaangazia mchango wa vyombo vya habari hasa redio za jamii katika visiwa vya Zanzibar kwa kuwaendeleza wanawake na wasichana. Tumeongea na baadhi ya wadau wa suala hilo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.